Baada ya mchezo dhidi ya Al Ahly mabingwa wa nchi Simba wanarejea nyumbani kuendelea na mikiki mikiki ya ligi kuu ya Vodacom huku wakisubiri droo ya robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa
Licha ya kupoteza mchezo jana kwa kufungwa bao 1-0, Simba imemaliza makundi ikiwa vinara na alama zake 13


April 14 watarejea katika kampeni ya kusaka ubingwa wa nne ligi kuu ya Vodacom kwa mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa
Wababe hao wa soka Tanzania, wanarejea nchini kupitia Dubai
ADVERTISE HERE