Barbara na ndoto ya kuipaisha Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Apr 2021
Barbara na ndoto ya kuipaisha Simba

Wakati  mabingwa wa nchi Simba wakiwa kule Misri ambako kesho Ijumaa watashuka dimbani kuwakabili Al Ahly katika mchezo wa kukamilisha ratiba ligi ya mabingwa barani Afrika, Mtendaji Mkuu Barbara Gonzalez amesema Al Ahly ni timu iliyokamilika ndani na nje ya uwanja na kuwa yapo mambo ambayo Simba wanaweza kunufaika kutoka kwa timu hiyo

Kabla ya michuano ya ligi ya mabingwa msimu huu, Barbara alipata nafasi ya kuitembelea Al Ahly kujionea namna klabu hiyo inavyoendeshwa

Al Ahly ndio klabu kongwe na yenye mafanikio zaidi barani Afrika

Klabu hiyo inatajwa kuwa na makombe mengi zaidi duniani. Lakini pia inaamiwa kuwa ndio klabu tajiri zaidi barani Afrika

Simba pia iko katika mwelekeo huo, msimu huu ikidhihirisha kuwa iko tayari kwenda sawa na miamba hao wa soka barani Afrika ikifanikiwa kumaliza hatua ya makundi juu yao

"Kiuhalisia timu ya Al Ahly inabaki kuwa alama kwa timu za mpira wa miguu barani Afrika. Hii inakwenda mbali zaidi hadi nje ya uwanja. Kutokana na hayo tunapaswa kuhamasika na vitu kama"

(i) Uwezeshaji na miundombinu

(ii) Kiuchumi na miundo na mifumo ya utendaji na uendeshaji

(iii)Tathmini ya wachezaji (na mali nyingine)

(iv) Uchambuzi wa mitandao wa kijamii

(v) Utendaji wa kimichezo

Ni sehemu ya ujumbe wa Barbara alioweka katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
5h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
11h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
14h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’