Siku 45 za Gomes Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Apr 2021
Siku 45 za Gomes Simba

Kocha Mkuu wa Simba Didier Gomes ametimiza siku 45 tangu alipojiunga na mabingwa hao wa nchi

Ni siku 45 za mafanikio kwake binafsi na kwa klabu ya Simba

Ameiongoza Simba katika michezo 11, michezo mitano ligi kuu, mitano ligi ya mabingwa na mchezo mmoja kombe la FA

Ameshinda michezo nane, ligi kuu akishinda michezo mitatu, ligi ya mabingwa akishinda michezo minne na kombe la FA akishinda mchezo mmoja

Michezo yote aliyotoka sare ni mitatu, miwili ligi kuu na mmoja ligi ya mabingwa

Magoli yaliyofungwa na Simba ni 21, tisa katika ligi kuu, tisa katika ligi ya mabingwa na matatu katika kombe la FA

Magoli ua kufungwa ni matano,  ligi kuu akifungwa mabao manne na ligi ya mabingwa akifungwa bao moja

Amepata 'cleansheet' nane, ligi kuu nne na ligi ya mabingwa nne

Kwa hakika huu ni mwanzo mzuri sana kwake

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’