Mo tajiri namba moja Afrika Mashariki

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Apr 2021
Mo tajiri namba moja Afrika Mashariki

Kulingana na jarida la mambo ya kibiashara na utajiri, Forbes Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' ndiye tairi namba moja katika ukanda wa Afrika Mashariki

Mo ameingia katika orodha ya Matajiri barani Afrika yeye akishika namba 13 kwa ujumla na kuwa tajiri pekee aliyeingia kutoka Afrika Mashariki

Afrika inajivunia mabilionea 18 ambapo utajiri wao wote kwa ujumla ukiwa ni dola bilioni 74, kulingana orodha mpya iliyotolewa na Forbes.

Aliko Dangote wa Nigeria anaendelea kuongoza kwa utajiri kwa mwaka wa 10 mfululizo huku utajiri wake ukiwa dola bilioni 11.6

Hata hivyo, Dangote ni wa 190 katika orodha ya watu matajiri wa dunia nzima

Barani Afrika, Dangote alifuatwa na Nassef Sawiris wa Misri utajiri wake ukiwa ni dola bilioni 8.5, Nicky Oppenheimer wa Afrika Kusini akiwa na utajiri wa dola bilioni 8, Johann Rupert wa Afrika Kusini akiwa na dola bilioni 7.2 huku Mike Adenuga wa Nigeria thamani yake ikiwa ni dola bilioni 6.3

Wakati huohuo Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amemteu Mo kuwa mmoja wa washauri wake wa Uchumi na Masuala ya Kibiashara

Haa ni mafanikio makubwa kwake, lakini pia ni heshima kwa klabu ya Simba ambayo yeye ndiye kiongozi wake mkuu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’