Dk Tulia awataka wabunge waiunge mkono Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Apr 2021
Dk Tulia awataka wabunge waiunge mkono Simba

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Tulia Ackson ameipongeza klabu ya Simba Sc kwa kufanikiwa kutinga robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Dk Tulia amewataka Wabunge wote nchini bila kujali ushabiki wao kuungana kwa pamoja katika kuwaunga mkono wachezaji pamoja na timu nzima kwani wao wanawakilisha Tanzania

"Waheshimiwa Wabunge nichukue fursa hii kuwapongeza SIMBA SC kwa kufuzu kuingia robo fainal klabu bingwa Afrika, kuna Wabunge wanaweza wakawa hawajaelewa uzito wa jambo hili lakini kimsingi kama taifa wote tunapaswa tuungane kuwatia moyo wachezaji wetu na klabu yetu ili iendelee kufanya vizuri

"Ni kwa sababu hii fursa ya kuitangaza nchi yetu vizuri. Kwa hiyo ni muhimu sana hili tukawa tumelielewa ili tuende nalo pamoja kama taifa na ninaamini mashabiki wenzangu wa Yanga wataungana nami katika kuipongeza Simba kwenye hili," alisema Dk Tulia

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’