Msafara wa wachezaji 26 na viongozi wa klabu ya Simba uliondoka jana jioni jijini Dar es salaam kuelekea Misri ambako siku ya Ijumaa wanakabiliwa na mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Ahly
Simba iliwasili Dubai usiku na leo wanatarajiwa kuendelea na safari, wakitarajiwa kuwasili jiji la Cairo saa nne asubuhi
Wachezaji wote isipokuwa Perfect Chikwende ambaye hana sifa ya kucheza ligi ya mabingwa, walijumuishwa katika safari hiyo
Makipa
Aishi Manula
Beno Kakolanya
Ally Salim
Mabeki
Shomari Kapombe
Joash Onyango
Pascal Wawa
Ibrahim Ame
Erasto Nyoni
Gadiel Michael
Mohamed Hussein
Kennedy Juma
David Kameta
Viungo
Jonas Mkude
Rally Bwalya
Said Ndemla
Mzamiru Yassin
Luis Miquissone
Hassan Dilunga
Clatous Chama
Bernard Morrsion
Francis Kahata
Taddeo Lwanga
Washambuliaji
Medie Kagere
John Bocco
Ibrahim Ajib
Chris Mugalu