Mabingwa wa nchi Simba wameianza safari ya kuelekea nchini Misri ambao siku ya Ijumaa wanakabiliwa na mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Ahly
Simba itapaa saa tisa Alasiri kuelekea Dubai ambako msafara utalala kabla ya kuunganisha Misri kesho Jumatano



ADVERTISE HERE