Chama kushinda tuzo ya mchezaji bora CAF

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Apr 2021
Chama kushinda tuzo ya mchezaji bora CAF

Kiungo wa Simba Clatous Chama anatarajiwa kushinda tuzo ya mchezaji bora wa wiki michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Jana Chama na Luis Miquissone walitajwa kwenye kikosi bora cha wiki huku Mzambia huyo akiingia kwenye orodha ya wachezaji watatu wanaopigiwa kura kuwania tuzo ya mchezaji bora wa wiki

Mpaka jana jioni, alikuwa akiongoza kwa mbali katika kura na hakuna shaka atashinda tuzo hiyo kwa mara ya kwanza

Chama aling'ara katika mchezo dhidi ya AS Vita akifunga mabao mawili na kutoa pasi moja ya bao

Katika mchezo huo Miquissone alifunga bao lake la tatu na kumfanya aongoze katika vinara wa kutubia mabao kuanzia hatua ya makundi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
8h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
12h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’