Baada ya ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya AS Vita na kujihakikishia kutinga robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa, kikosi cha Simba leo kimerejea mazoezini kujiweka sawa na mchezo wa kukamilisha ratiba dhidi ya Al Ahly
Mchezo huo utapigwa Ijumaa April 09 nchini Misri
Mazoezi ya leo yalikuwa maalum kuweka sawa miili ya wachezaji baada ya mtanange wa juzi





ADVERTISE HERE