Wachezaji wa Kimataifa wa klabu ya Simba Luis Miquissone na Clatos Chama wamechaguliwa katika kikosi cha wiki cha klabu Bingwa Barani Afrika
Miquissone anaingia kwa mara ya tatu katika kikosi hicho huku Chama ikiwa mara yake ya kwanza
Chama ndiye aliyekuwa nyota wa mchezo uliopita dhidi ya AS Vita akifunga mabao mawili na kutoa pasi moja ya bao
Miquissone alifunga bao moja katika mchezo huo na kumfanya afikishe mabao matatu

ADVERTISE HERE