Beki kisiki wa Simba Joash Onyango leo amekabidhiwa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki wa mwezi Machi (Emirate Aluminium Simba Fans Player of the Month)
Onyango alitwaa tuzo hiyo baada ya kupigiwa kura nyingi na mashabiki wa Simba akiwashinda Aishi Manula na Luis Miquissone


ADVERTISE HERE