Namungo hoi kombe la Shirikisho

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
•
5 Apr 2021
Namungo hoi kombe la Shirikisho

Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho  Afrika, Namungo FC jana walijikuta wakipoteza mchezo wa tatu mfululizo baada ya kukubali kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Nkana FC ya nchini Zambia nyumbani kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam

Namungo wamefungwa mechi mbili nyumbani na moja ugenini wakiburuza mkia kundi D. Hawajafunga bao lolote katika hatua ya makundi

Pengine kukosa uzoefu wa michuano hiyo inaweza kuwa sababu iliyopelekea wasifanye vizuri hasa tangu walipotinga hatua ya makundi

Ni bahati mbaya kwao wameshindwa kuifanya kazi ambayo Simba wameifanya kwenye michuano ya ligi ya mabingwa kwa kujihakikishia kwenda robo fainali

Hata hivyo michuano hii ya Kimataifa sio rahisi, inahitaji maandalizi na kuwa na kikosi imara

Simba imeyafanya yote hayo, mafanikio inayopata sasa hayakuja kwa bahati mbaya

Matokeo wanayopata Namungo Fc ni somo zuri kwao pengine msimu ujao watajiimarisha zaidi

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE →
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE →
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE →
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE →
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE →
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE →
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE →
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE →
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE →