Mnyama lazima apewe heshima yake

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Apr 2021
Mnyama lazima apewe heshima yake

Ukiangalia msimamo wa ligi ya mabingwa kundi A, unaweza usiamini kama ni kweli Simba iko hapo kileleni ikiwa imejihakikishia kutinga robo fainali baada ya mechi tano tu

Ndio hivyo, kazi imefanyika na kwa hakika kila mmoja aliyehusika kuiweka Simba hapo anastahili kupongezwa

Hii ni kuanzia Mwekezaji Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' ambaye kwa kiasi kikubwa uwekezaji mkubwa allioweka katika klabu ya Simba umeanza kulipa

Lakini pia wachezaji wamepambana, kocha Didier Gomes ametimiza wajibu wake ipasavyo kwa kuhakikisha anatengeneza kikosi imara na mbinu sahihi zilizoipa Simba mafanikio

Viongozi wamelinda utulivu ndani ya Simba lakini mashabiki wamehamasisha kwa nguvu zote kile walipopewa nafasi

Jamani, hii Simba inastahilli pongezi, kwani imekuwa mwakilishi mzuri wa Tanzania, sidhani kama mafanikio haya yamewahi kupatikana wakati mwingine wowote kwa klabu za Tanzania

Simba imetinga robo fainali bila ya kupoteza mchezo, wameruhusu bao moja tu!

Wamemaliza juu ya mabingwa watetezi Al Ahly na huku wakiwa na mchezo mmoja mkononi

Simba itakwenda Misri kukamilisha ratiba tu wiki ijayo kwani kazi tayari wameimaliza..!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’