Tumewabeba tena CAF

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Apr 2021
Tumewabeba tena CAF

Ushindi wa mabao 4-1 ambao Simba umeupata leo dhidi ya AS Vita una maana kubwa kwa Simba na Tanzania kwa ujumla

Ni ushindi ambao umeipeleka Simba robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa, wakiingia hatua hiyo wakiwa vinara wa kundi A

Ni ushindi ambao unaihakikishia Simba kucheza na mshindi wa pili kutoka kundi jingine katika mchezo wa kusaka tiketi ya kutinga nusu fainali

Kwa Tanzania ni kuwa msimu ujao itatoa wawakilishi wanne katika michuano ya CAF, timu mbili ligi ya mabingwa na timu mbili kombe la Shirikisho

Kwa ushindi huo, Tanzania imefikisha alama 27.5 ikipanda nafasi ya 12 mbele ya Libya yenye alama 13.5

Wapo ambao hii mbeleko wanaifurahia 'kimya kimya' kwani wanafahamu kabisa ubavu wa kutwaa ubingwa mbele ya Simba hawana

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’