Kazi imekwishaaaaa, FT Simba 4-1 AS Vita

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Apr 2021
Kazi imekwishaaaaa, FT Simba 4-1 AS Vita

Hii ndio timu bora barani Afrika kwa sasa! Kwa wale wanaoteseka tunawapa poleee

Clatous Chotta Chama, Luis Miquissone na Larry Bwalya wameipeleka Simba robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa kibabe kwa ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya As Vita

Chama anaweza kuwa shujaa wa mchezo huo akifunga mabao mawili na kutoa pasi ya bao la Bwalya

Ulikuwa mchezo ambao Simba ilihitaji ushindi au matokeo ya sare

Simba imefikisha alama 13 na sasa sio kwamba imetinga robo fainali tu, lakini imejihakikishia kumaliza hatua ya makundi ikiwa kinara wa kundi A

Kwa sasa sio kosa kabisa kuiweka Simba daraja sawa na vigogo wengine barani Afrika kutokana na mafanikio waliyopata

Al Ahly nao wametinga robo fainali licha kulazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Al Merrikh

Hesabu sasa sio robo fainali tena, ni nusu fainali, fainali na hata ubingwa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’