Kila la kheri Simba, kila la kheri Machampioni wa Tanzania

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Apr 2021
Kila la kheri Simba, kila la kheri Machampioni wa Tanzania

Wanamsimbazi na Watanzania wazalendo jioni ya leo macho na masikio yao yatakuwa pale uwanja wa Benjamin Mkapa kushuhudia mchezo wa ligi ya mabingwa kati ya Simba dhidi ya AS Vita

Mchezo huo utapigwa kuanzia saa kumi Alasiri mbele ya mashabiki 10,000 walioruhusiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)

Ni mchezo ambao kila mmoja ana mategemeo makubwa kuwa Simba itashinda na kufanikiwa kutinga robo fainali ya michuano hiyo kwa mara ya pili katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita

Hata matokeo ya sare yatatosha kuivusha Simba robo fainali, matokeo ambayo yatakuwa na manufaa kwa nchi pia kwani itakuwa uhakika msimu ujao Tanzania itaingiza timu nne kwenye michuano ya Kimataifa

Ni mchezo ambao kocha Didier Gomes na vijana wake watapaswa kuingia kwa tahadhari kwani AS Vita nao wataingia wakisaka ushindi na sio vinginevyo

Hii ni siku nyingine ya kihistoria kwa Simba, dua zote ni kwa Wawakilishi hawa wa nchi waweze kupata matokeo ambao yatarudisha sifa kwa nchi na kuitangaza ligi yetu Kimataifa

Kufuzu hatua ya robo fainali utakuwa mwanzo mwema wa kutimiza ndoto kubwa zaidi, kufika nusu fainali na zaidi kutwaa ubingwa wa Afrika

Mungu ibariki Simba, Mungu ibariki Tanzania...!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’