Mashabiki wote wanapaswa kuwa na Barakoa, pamoja na kuwa na tiketi, kama hutavaa Barakoa hutaruhusiwa kuingia uwanjani
Lakini pia imeelezwa katika ukaaji majukwaani lazima kuwe na tofauti ya siti tatu kati ya mtu na mtu
Uwanja wa Benjamin Mkapa unachukua mashabiki 60,000 hivyo kutakuwa na nafasi ya kutosha baina ya mashabiki

CAF imesisitiza kuwa kufuata maagizo haya ndio njia pekee ya kuendelea kupata nafasi ya mashabiki kuingia uwanjani.
ADVERTISE HERE