Beki kisiki Joash Onyango ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Machi 2021 ndani ya kikosi cha Simba baada ya kupigiwa kura nyingi na mashabiki
Onyango amewashinda mlinda lango Aishi Manula na winga Luis Miquissone alioingia nao hatua ya kupigiwa kura
Jumla ya Kura ni 25,719 zilipigwa, Onyango kapata kura 20,288 ambayo ni sawa na asilimia 79% zote, Manula rura 4673 sawa na asilimia 18% na Miquissone kura 758 sawa na asillimia 2%
Onyango atakabidhiwa tuzo pamoja na fedha taslimu Sh 1,000,000 kutoka kwa wadhamini Emirate Aluminum
ADVERTISE HERE