Timu ya AS Vita ambayo Jumamosi itacheza na Simba mchezo wa ligi ya mabingwa barani Afrika, itawasili nchini saa moja usiku wa leo
Taarifa ya klabu ya Simba imebainisha kuwa wageni wao hao wanakuja na msafara wa watu 33, ambao utajumuisha wachezaji na viongozi wa timu hiyo
"Msafara wa watu 33 wa timu ya AS Vita kutoka Kinshasa DRC utatua nchini leo saa moja usiku Kwa ndege ya shirika la Kenya tayari kwa mchezo wa tano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya SImba utakaopigwa Jumamosi, Aprili 3 Uwanja wa Benjamin Mkapa"
ADVERTISE HERE