Gomes kuandaa mbinu ya kuwamaliza AS Vita

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Apr 2021
Gomes kuandaa mbinu ya kuwamaliza AS Vita

Kocha Mkuu wa Simba Didier Gomes amesema ameandaa mkakati wa kuhakikisha wanapata ushindi katika mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya AS Vita utakaopigwa Jumamosi, April 03 uwanja wa Benjamin Mkapa

Hata hivyo, Mfaransa huyo amelalamikia kuwakosa baadhi ya wachezaji ambao walikwenda kuzichezea timu zao za taifa mechi za kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika. Afcon

Mpaka sasa wachezaji ambao tayari wamerejea kambini ni wale waliokuwa timu ya Taifa ya Tanzania na mlinzi Peter Muduhwa aliyekuwa timu ya Taifa ya Malawi

Gomes amesema timu yake itakuwa na muda mdogo wa kufanya maandalizi ya mwisho na watautumia kuwasoma AS Vita kupitia mikanda ya video zao

"Binafsi nimeshaangalia video za mechi za timu hiyo na kuna mambo nimeyabaini lakini sasa nataka kuwaonyesha wachezaji wangu ili wajue nini cha kufanya ndani ya dakika 90 za mchezo huo dhidi ya AS Vita," amesema

"Siku ya Ijumaa, tutafanya mazoezi mepesi uwanjani kufanya baadhi ya mbinu za kiufundi kupitia video kutoka AS Vita jinsi ya kuzuia na kuwashambulia"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’