Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kiungo fundi Jonas Mkude 'Nungunungu'
Huyu ndiye mchezaji mwenye Simba yake, kwa takribani miaka 10 yuko ndani ya kikosi cha Simba
Ni mchezaji aliyedumu katika ubora wake kwa muda mrefu, ni wachache sana wanaoweza kufanana nae
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake
HAPPY BIRTHDAY MKUDE..
ADVERTISE HERE