AS Vita kutua Alhamisi bila Djuma Shaban

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
31 Mar 2021
AS Vita kutua Alhamisi bila Djuma Shaban

Msafara wa kikosi cha AS Vita utawasili nchini kesho Alhamisi kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Simba utakaopigwa Jumamosi April 03 uwanja wa Benjamin Mkapa

Kikosi hicho cha kocha Florent Ibenge kitatua nchini bila ya nahodha wake Djuma Shabani ambaye ni majeruhi

Shabani alipata majeraha katika mazoezi ya timu hiyo jana

Huyu ni mchezaji muhimu sana kwenye kikosi cha AS Vita, kukosekana kwake ni pigo kwa AS Vita lakini inaweza kuwa faida kwa Simba hasa akikumbukwa kwa kiwango bora alichoonyesha katika mchezo wa kwanza uliopigwa DR Congo na Simba kushinda kwa bao 1-0

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’