Mechi za Simba zilizobaki VPL

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
31 Mar 2021
Mechi za Simba zilizobaki VPL

Mabingwa wa nchi Simba wamepania kulihifadhi taji la Ligi Kuu kwa msimu wa nne mfululizo

Wakiwa katika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi, kimahesabu wataweza kupanda kileleni kama watashinda mechi zao zote za viporo

Simba itarejea kwenye mikiki mikiki ya ligi April 14 katika mchezo wa kiporo dhidi ya Mtibwa Sugar

Kwa sasa machampioni hao wa Taifa wana kazi kubwa ya kuiwakilisha nchi katika michuano ya ligi ya mabingwa, wakisaka nafasi ya kutinga hatua ya makundi kutoka mechi zao mbili zilizobaki dhidi ya AS Vita (April 03) na Al Ahly (April 10)

Wakimaliza mechi hizo ratiba yao ya ligi itakuwa hivi;

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’