TPLB yaweka hadharani Ratiba Mpya VPL, FA

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
31 Mar 2021
TPLB yaweka hadharani Ratiba Mpya VPL, FA

Bodi ya Ligi imetoa Ratiba Mpya itakayoanza baada ya kumalizika maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya tano Hayati Dk John Magufuli kilichotokea Machi 17

Mabingwa watetezi Simba watarejea kwenye mikiki mikiki ya ligi April 14 kwa mchezo wa kiporo dhidi ya Mtibwa Sugar utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Simba ina majukumu ya mechi za ligi ya mabingwa ambapo April 03 watacheza na AS Vita jijini Dar es salaam kisha kusafiri Misri kuifuata Al Ahly kwa ajili ya mchezo utakaopigwa April 10

Hii hapa ratiba kamili ya mechi zilizosalia kwenye ligi na kombe la FA

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’