Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'Mo' amempongeza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Philip Mpango kwa kuteuliwa na baadae kuidhinishwa na Bunge kushika wadhifa huo
Simba imemtakia kila la kheri yeye pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan katika kutekeleza majukumu yao

ADVERTISE HERE