Bocco akabidhiwa tuzo ya mchezaji bora Januari

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Feb 2018
Bocco akabidhiwa tuzo ya mchezaji bora Januari
Nahodha wa Simba John Bocco leo amekabidhiwa tuzo yake na wadhamini wa ligi baada ya kuibuka kuwa mchezaji bora wa mwezi Janury 2018.

Bocco amekabidhiwa tuzo hiyo kwenye uwanja wa Taifa wakati Simba ikiivaa Mbao FC, mchezo uliomalizika kwa Simba kuibuka na ushindi wa mabao 5-0.

Majeruhi ya kifundo cha mguu yalimfanya Bocco ashindwe kucheza mchezo huo ambapo majukumu yake ya unahodha alikabidhiwa Emanuel Okwi.

Wakati huo huo Emanuel Okwi ameibuka kuwa nyota wa mchezo wa leo kwa upande wa kikosi cha Simba baada ya kupigiwa kura nyingi na mashabiki wa Simba.

Okwi alipachika mabao mawili kwenye mchezo huo.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’