Takwimu za Manula mechi dhidi ya Libya

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
31 Mar 2021
Takwimu za Manula mechi dhidi ya Libya

Mlinda lango namba moja wa Simba na timu ya Taifa Aishi Manula, nyota yake imeendelea kun'gara kutokana na kiwango kizuri anachoonyesha akiwa na Simba na hata timu ya Taifa

Juzi katika mchezo wa kukamilisha ratiba kuwania tiketi ya kushiriki fainali za Afcon 2021 dhidi ya Libya, Manula alikuwa gumzo baada ya mchezo huo kutokana na kiwango kizuri alichoonyesha

Kulingana na takwimu zake, kwa hakika Manula yuko katika kiwango bora sana katika maisha yake ya soka

Tayari tetesi zimeanza kushika kasi juu ya kuhitajika kwake na timu nyingi barani Afrika

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
8h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’