Nyota wa Kimataifa waitwa haraka kikosini

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Mar 2021
Nyota wa Kimataifa waitwa haraka kikosini

Kocha Mkuu wa Simba Didier Gomes amewaita haraka wachezaji waliokuwa na majukumu ya timu za Taifa kujiunga na wenzao kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya AS Vita ambao utapigwa Jumamosi, April 03 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa

Baada ya kumalizika mchezo kati ya Tanzania dhidi ya Libya jana, kikosi cha Simba kitapata ahueni wakitarajiwa kuongezeka wachezaji tisa mazoezini

Wachezaji hao nia Aishi Manula, Shomari Kapombe, Mohammed Hussein, Kennedy Juma, Erasto Nyoni, Jonas Mkude, Mzamiru Yassin, Hassan Dilunga na John Bocco

Nyota wengine nane watajiunga na wenzao punde tu baada ya kukamilika mechi za leo na kesho

Wachezaji wanaotarajiwa kumaliza majukumu yao leo ni Peter Muduhwa (Malawi), Taddeo Lwanga (Uganda), Joash Onyango (Kenya), Clatous Chama na Larry Bwalya (Zambia), Perfect Chikwende (Zimbabwe)

Luis Miquissone na Meddie Kagere wao watakamilisha majukumu yao kesho

Simba ina siku nne za kukamilisha maandalizi yake kabla ya mchezo muhimu dhidi ya As Vita ambao mabingwa hao wa nchi watahitaji kushinda au kupata sare ili kutinga robo fainali

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
9h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
15h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’