Simba ya Kimataifa ndio hii sasa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Mar 2021
Simba ya Kimataifa ndio hii sasa

Wachezaji 17 wako kwenye mataifa mbalimbali wakitumika na Mataifa yao katika mechi za kuwania kufuzu fainali za Afcon 2021

Lakini pia Kocha Msaidizi wa Simba Selemani Matola naye yuko kwenye majukumu ya timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' inayojiandaa na mchezo wa kukamilisha ratiba dhidi ya Libya ambao utapigwa Jumatatu

Kwa hakika hii Simba imeundwa, pongezi nyingi kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' ambaye amehusika na usajili wa Simba kwa asilimia 100%

Msimu huu utakuwa wa kihistoria kwa Simba, dalili njema zimeonekana kuanzia katika michuano ya ligi ya mabingwa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’