Beki wa kati wa Simba Ibrahim Ame ameanza mazoezi kikamilifu baada ya kupona majeraha yaliyokuwa yakimsumbua
Mlinzi huyo aliyetua Simba msimu huu akitokea klabu ya Coastal Union, ameanza kufanya mazoezi na wenzake yakiwa ni maandalizi kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya AS Vita utakaopigwa April 03
Kikosi cha kocha Didier Gomes kinaendelea kujifua licha ya kuwa na wachezaji 10 tu wa kikosi cha kwanza
Wachezaji 18 wako katika timu za Taifa
ADVERTISE HERE