JPM kupumzishwa katika nyumba yake ya milele Chato

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Mar 2021
JPM kupumzishwa katika nyumba yake ya milele Chato

Mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, awamu ya tano Hayati Dk John Pombe Magufuli hii leo utazikwa katika makaburi ya familia mjini Chato

Maelfu ya Watanzania wanamiminika katika uwanja wa Magufuli ambapo kutakuwa na misa maalumu ya mazishi ya Rais Magufuli ambaye alikuwa kipenzi cha Watanzania

Mapema asubuhi,Β  mwili wa Hayati Magufuli ambae alifariki tarehe 17 mwezi Machi kutokana na tatizo la moyo, utapelekwa kanisani kwa ajili ya ibada maalumu

Maelfu ya Watanzania watashiriki maziko hayo huku mamilioni wakitarajiwa kushuhudia tukio hilo mbashara kupitia runinga

Hakika hii ni siku nyingine ngumu kwa Watanzania ambao bado wako katika maombolezo ya kifo chake kilichotokea Machi 17

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mangungu aibuka, apinga mchakato wa uchaguzi Simba
Mangungu aibuka, apinga mchakato wa uchaguzi Simba
1h ago
READ MORE β†’
Tutapambana tuvuke mtoano - Barker
Tutapambana tuvuke mtoano - Barker
2h ago
READ MORE β†’
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
4h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
22h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
1d ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’