Tanzania haitashiriki fainali za Afcon 2021 baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Guinea ya Ikweta
Guinea ya Ikweta na Tunisia zimefuzu kwa michuano hiyo baada ya matokeo ya mechi za leo
Tunisia imeichapa Libya mabao 5-2 imefuzu ikiwa vinara wa kundi J ikiwa na alama 13
Tanzania haikuwa na mchezo mzuri sana, kocha Kim Poulsen akitumia mbinu za kujihami zaidi
Jitihada za kusaka alama moja zilikwamishwa kwenye dakika ya 88 Guinea ya Ikweta walipopata bao lao la ushindi
ADVERTISE HERE