Vinara wa ligi kuu ya Vodacom, Simba leo wanashuka kwenye uwanja wa Taifa kuikabili Mbao Fc katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 19.
Baada ya kufuzu raundi ya kwanza ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika, Simba sasa inahitaju kuibuka na ushindi kwenye mchezo wa leo na ule unaofuata dhidi ya Stand United ili kubakia kileleni kwa tofauti ya alama nyingi.
Afisa Habari wa Simba Haji Manara amewataka mashabiki kujitokeza kwa wingi uwanja wa Taifa ili kuipa sapoti timu yao.
"Msimu huu lengo kuu ni kutwaa ubingwa tunahitaji kushinda michezo yetu yote ili tulifanikishe hilo mapema," amesema Manara.
"Hivyo tunawaomba mashabiki wetu wajitokeze kwa wingi kuipa sapoti timu ili iweze kuibuka na ushindi dhidi ya Mbao FC"

ADVERTISE HERE