Leo kutakuwa na vita ya uwanjani baina ya wachezaji wawili wa Simba Meddie Kagere na Luis Miquissone ambao timu zao zinakutana katika mchezo wa kuwania tiketi ya fainali za Afcon 2021
Kagere anatarajiwa kuongoza safu ya ushambuliaji ya Rwanda wakati Miquissone yeye ataongoza upande wa Msumbiji
Rwanda ndio wenyeji wa mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa kumi kamili Alasiri
Kila la kheri kwa miamba hawa wanaopambania timu zao za Taifa
Β Update
Mchezo umemalizika kwa Rwanda kupata ushindi wa bao 1-0. Meddie Kagere na Miquissone walikuwepo dimbani kwa dakika zote 90 wakipambania Mataia yao
ADVERTISE HERE