Stars kuifuata Guinea ya Ikweta leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Mar 2021
Stars kuifuata Guinea ya Ikweta leo

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kinaondoka leo kuelekea Guinea ya Ikweta ambako Alhamisi, Machi 25 wanakabiliwa na mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Afcon 2021 dhidi ya Guinea ya Ikweta

Stars iliweka kambi nchini Kenya kujiandaa na mchezo huo ambao Tanzania haipaswi kupoteza

Kikosi cha kocha Kim Poulsen kiliimarika baada ya wachezaji wa Simba waliokuwa na majukumu ya michuano ya ligi ya mabingwa kuwasili nchini Kenya

Aidha nahodha Mbwana Samatta, Saimon Msuva na Yohana Mkomola watajiunga na wenzao leo tayari kwa safari

Tanzania inashika nafasi ya tatu kundi J ikiwa na alama nne, nyuma ya Guinea ya Ikweta yenye alama sita wakati Tunisia wenye alama 10 kimahesabu tayari wamejihakikishia kucheza fainali za michuano hiyo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
4h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’