Mo anasubiri mchakato ukamilike awanyamazishe wakosoaji

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Mar 2021
Mo anasubiri mchakato ukamilike awanyamazishe wakosoaji

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' amesema anasubiri kukamilika kwa mchakato wa mabadiliko ili awashangaze wanaohoji uwekezaji wake

Aidha kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, Mo amebainisha kusudio la klabu ya Simba kusaka mdhamini mwingine pale mkataba wa Sportpesa utakapomalizika mwezi Juni mwaka huu

Mo amelinganisha kiasi cha pesa ambazo klabu ya Manchester United itapata katika mkataba wake mpya wa udhamini katika kipindi cha miaka mitano. Kiasi cha fedha ambazo Simba wanapata kutokana na udhamini wa Sportpesa hazifiki hata asilimia 1%

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’