Sportpesa wajipange kuongeza fedha za Udhamini Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Mar 2021
Sportpesa wajipange kuongeza fedha za Udhamini Simba

Kampuni ya Sportpesa ndio wadhamini wakuu wa klabu ya Simba mkataba wao ukitarajiwa kumalizika mwezi Juni 2021

SportPesa wamekuwa wakiipatia Simba takribani Tsh Bilioni moja kwa mwaka katika mkataba huo uliokuwa wa miaka mitano

Ni wazi kwa ukubwa wa 'brand' ya Simba wakati huu, Sportpesa watalazimika kuongezwa 'mkwanja' wa udhamini

Inaelezwa Simba tayari imeanza kusaka mdhamini mwingine ambaye atatoa udhamini mnono zaidi

Kampuni nyingi za Kimataifa zinasubiri nafasi hiyo ya kuidhamini Simba, kwani hakuna ubishi Simba ni moja ya klabu kubwa barani Afrika kwa sasa

Ushahidi wa hili ni mafanikio wanayopata katika michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika msimu huu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’