Kikosi cha Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kimerejea mazoezini kujiandaa na mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya AS Vita utakaopigwa April 03 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Pamoja na kuwakosa wachezaji wake takribani 18 wanaokabiliwa na majukumu ya timu za Taifa, Kocha Mkuu wa Simba Didier Gomes amewajumuisha wachezaji wa timu ya vijana ili kuhakikisha program zake za mazoezi hazivurugiki

ADVERTISE HERE