Gomes ataja sababu ya kumuamini Mugalu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Mar 2021
Gomes ataja sababu ya kumuamini Mugalu

Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, Mfaransa Didier Gomes amefunguka kwamba anakoshwa sana na straika wake, Mkongomani Chris Mugalu kutokana na namna ambavyo amekuwa akibaki kwenye hali ya kujiamini hata anapofanya vibaya.

Gomes ameongeza kwamba straika huyo anaifanya kazi yake vizuri katika mfumo ambao amekuwa akiutumia wa mshambuliaji mmoja ambapo amekuwa na hali ya kujiamini kwa kiwango kikubwa mbele ya wapinzani wao.

Katika mfumo wa kocha huyo wa Simba 4-2-3-1, Mugalu ndiye amekuwa akitumika kama mshambuliaji halisi wa kati akiwa anacheza peke yake

Gomes amesema kuwa straika huyo amekuwa akifanya katika eneo hilo ambalo anampanga kwa kuwa amekuwa akijiamini mbele ya mabeki wa timu pinzani kitu ambacho ni faida kwao

"Kwenye mfumo huu wangu, straika mmoja anahitaji kujiamini zaidi, hilo ni muhimu na nimeliona kwa Mugalu. Amekuwa akifanya hivyo na anafunga mabao ikiwemo mechi yetu iliyopita na Merrikh"

"Ni kitu kizuri kwake kujiamini, kwa sababu inakuwa faida kwetu. Lakini hata wenzake Meddie (Kagere) anafanya vizuri na nahodha wetu John (Bocco) naye amekuwa akifanya hivyo pale ambapo anacheza. Najivunia naye," alisema Gomes

GPL

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
9h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
15h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’