Mabingwa wa nchi Simba na Wydad Casablanca ndio vilabu pekee ambavyo havijaruhusu goli katika mechi 4 zilizopita hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika
Katika msimamo wa jumla baada ya raundi nne, Simba inashika nafasi ya tatu ikiwa na alama zake 10
Mamelodi ndio vinara wa jumla wakiwa na alama 12 baada ya kushinda michezo yote minne wakifuatiwa na Wydad wenye alama 10 sawa na Simba

ADVERTISE HERE