Mo aungana na Watanzania kumuaga JPM

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Mar 2021
Mo aungana na Watanzania kumuaga JPM

Mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania awamu ya tano Dk John Magufuli, unaagwa katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam

Watanzania wameendelea kufurika katika uwanja huo kumuaga shujaa, mtu wa watu, mpenda maendeleo, Rais wa wanyonge

Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' ameungana na Watanzania katika siku hii ya huzuni kumuaga mpendwa wetu

"Naungana na Watanzania wenzangu katika uwanja wa Uhuru asubuhi hii kutoa heshima zangu za mwisho kwa mpendwa wetu Hayati Rais Dr. John Pombe Magufuli," amendika Mo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

Wananchi wa Dar es salaam watakuwa na nafasi ya kumuaga hayati Magufuli siku ya leo na kesho Uwanja wa Uhuru

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
2h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
21h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
2d ago
READ MORE β†’