Mbonde aanza mazoezi mepesi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Feb 2018
Mbonde aanza mazoezi mepesi
Mlinzi wa kati wa Simba Salim Mbonde ameanza mazoezi mepesi chini ya uangalizi wa kocha wa mazoezi ya viungo Mohammed Hbibi pamoja na Daktari wa kikosi cha Simba Yassin Gembe.

Mbonde amekuwa nje ya kikosi cha Simba kwa zaidi ya miezi minne akisumbuliwa na majeraha ya goti.

Lakini uongozi wa Simba umefanya jitihada za haraka za kumtibia beki huyo aliyesajiliwa kutoka Mtibwa Sugar.

Kuanza kwake mazoezi mepesi kunamaanisha kuwa yuko mbioni kurejea kikosini akiwa kamili.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
13h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
19h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’