Klabu ya Simba imempongeza Rais wa Awamu ya Sita, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan aliyeapishwa leo baada ya kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Mh Dk John Magufuli kilichotokea juzi Hospitali ya Mzena jijini Dar es salaam

ADVERTISE HERE