Zimbwe Jr, Miquissone wajumuishwa kikosi cha CAF

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Mar 2021
Zimbwe Jr, Miquissone wajumuishwa kikosi cha CAF

Wachezaji wa Simba Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr' na Luis Miquissone wamejumuishwa katika kikosi cha wiki ligi ya mabingwa barani Afrika

Nyota hao waling'ara katika mchezo dhidi ya Al Merrikh, kila mmoja akifunga bao na kuisaidia Simba kuondoka na ushindi murua wa mabao 3-0

Hii ni mara ya pili Miquissone anajumuishwa katika kikosi hicho ambacho hutolewa kila baada ya mzunguuko wa mechi kukamilika

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’