Nyota wa kimataifa wa Zambia na klabu ya Simba Clatous Chama na Rally Bwalya wametua nchini Zambia kwa ajili ya majukumu ya timu ya Taifa
Wachezaji hao wamejumuishwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Zambia ambacho inajiandaa na michezo ya kufuzu kombe la mataifa ya Afrika dhidi ya Algeria na Zimbabwe
Mechi hizo zitapigwa mwishoni mwa mwezi huu
Chama na Bwalya ni miongoni mwa wachezaji 18 wa Simba ambao wanakabiliwa na majukumu ya timu za Taifa
ADVERTISE HERE