Magufuli ameichia Simba deni la ubingwa wa Afrika

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Mar 2021
Magufuli ameichia Simba deni la ubingwa wa Afrika

Enzi za uhai wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Dk John Magufuli, hakuwa nyuma katika masuala ya michezo

Msimu wa 2017/18 marehemu Magufuli alikuwa mgeni wa heshima katika hafla ya ubingwa wa ligi kuu ambao Simba walikuwa wameshinda

Ndoto kubwa aliyokuwa nayo Magufuli wakati huo ni kuona klabu ya Tanzania inatwaa taji kubwa la Afrika

Hii ni ndoto ambayo hayati Magufuli ameziachia timu za mpira wa miguu Tanzania ikiwemo klabu ya Simba

Hakika ndoto hii itaendelea kuishi na msimu huu Simba wana nafasi ya kuitimiza kwa kutwaa taji la ligi ya mabingwa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’