Taifa Stars, Kenya kumuombeleza Magufuli

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Mar 2021
Taifa Stars, Kenya kumuombeleza Magufuli

Rais wa Shirikisho la Soka nchini Kenya(FKF), Nick Mwendwa amethibitisha mchezo wa Kimataifa wa kirafiki kati ya Tanzania dhidi ya Harambee Stars utapigwa leo kama ulivyopangwa.

Mchezo huo utatanguliwa na dakika moja ya kuomboleza kifo cha Rais wa Tanzania, Dk John Magufuli kilichotokea jana

Katika mchezo wa kwanza baina ya timu hizo uliopigwa Jumatatu, iliyopita, Tanzania ilifungwa mabao 2-1

Kwenye mchezo huo Stars iliwakosa baadhi ya wachezaji waliokuwa na majukumu ya Kimataifa na klabu ya Simba

Nyota hao tayari wamewasili nchini Kenya kuungana na wenzao

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’