Wachezaji Simba wapewa mapumziko

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Mar 2021
Wachezaji Simba wapewa mapumziko

Msemaji wa mabingwa wa nchi Simba Haji Manara 'Bugati' amesema kocha mkuu Didier Gomes amewapa mapumziko wachezaji ambao hawana majukumu ya timu za Taifa

Manara amesema nyota hao watarejea mazoezini Jumamosi kuendelea na maandalizi ya mchezo muhimu wa ligi ya mabingwa dhidi ya AS Vita ambao umepangwa kupigwa April 02

Aidha Manara amesema wataomba kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) mchezo huo usogezwe mbele kutokana na Simba zaidi ya nusu ya wachezaji wake kukabiliwa na majukumu ya timu za Taifa

Bugati amesema Simba imetoa wachezaji 18 ambao wamekwenda kujiunga na timu za Taifa kwa ajili ya mechi za kuwania kufuzu Afcon 2021 zitakazopigwa mwishoni mwa mwezi huu

Miongoni mwa wachezaji hao, kumi wameitwa Tanzania na nane wameitwa mataifa mengine

Amesema watabakia na wachezaji 11 pekee ambao watarejea kambini Jumamosi

Orodha ya wachezaji walioitwa timu za Taifa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
11h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’