Nyota Simba kujiunga na Stars Kenya

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Mar 2021
Nyota Simba kujiunga na Stars Kenya

Baada ya kumaliza jukumu la kuiwakilisha nchi katika ngazi ya vilabu kwa ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Al Merrikh, wachezaji wa Simba walioitwa timu ya Taifa, wanatarajiwa kusafiri kuelekea nchini Kenya leo kuungana na wenzao

Stars itashuka dimbani huko Kenya kesho Alhamisi, kurudiana na Harambee Stars katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Kasarani

Juzi timu hizo zilicheza dimba la Nyayo na Kenya kushinda mabao 2-1

Wachezaji wa Simba wlaiojumuishwa katika timu ya Taifa ni Aishi Manula, Shomari Kapombe, Mohammed Hussein, Erasto Nyoni, Kennedy Juma, Jonas Mkude, Mzamiru Yassin, Said Ndemla na John Bocco

Aidha wachezaji Larry Bwalya na Clatous Chama wao wanaelekea Zambia kujiunga na timu ya Taifa ya nchi hiyo 'Chipolopolo' wakati Luis Miquissone anaelekea Msumbiji, Meddie Kagere akielekea Rwanda, Peter Muduhwa akielekea Malawi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’