Kila la kheri Simba, kila la kheri Mabingwa wa nchi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Mar 2021
Kila la kheri Simba, kila la kheri Mabingwa wa nchi

Mabingwa wa nchi Simba jioni ya leo watashuka katika uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Al Merrikh katika mchezo wa ligi ya mabingwa raundi ya nne

Huu ni mchezo ambao ushindi kwa Simba utawasogeza karibu na tiketi ya kutinga robo fainali kwani watahitaji alama moja tu kutoka kwa mechi mbili zitakazokuwa zimebaki

Wakati akizungumza na waandishi wa habari jana, Kocha Mkuu wa Simba Didier Gomes aliweka wazi kuwa leo hakuna matokeo wanayohitaji zaidi ya ushindi

Gomes alisema anatarajia kufanya mabadiliko kidogo ya kikosi chake kuhakikisha wanashambulia zaidi na kujilinda kwa tahadhari

Watu 200 wataruhusiwa kushuhudia mchezo huo ambao utapigwa kuanzia saa kumi Alasiri

Ni mchezo muhimu, dua za mashabiki na Watanzania wazalendo ni kuona Simba inaondoka na alama zote tatu leo

Kila la kheri Simba kila la kheri mabingwa wa nchi..!

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’